Wahanga wa maovu ya LRA wazungumzia masaibu yao | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 04.02.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Wahanga wa maovu ya LRA wazungumzia masaibu yao

Wakazi wa kaskazini mwa Uganda waliokusanyika katika kumbi mbalimbali wameshuhudia mahakama ya kimataifa ya ICC ikimsomea Dominic Ongwen kupatikana na hatia za uhalifu wa kivita na pia dhidi binadamu. Wanazungumzia pia masaibu waliyopitia na matarajio yao.

Tazama vidio 03:18