Vyama vyapiga kura kuteua wagombea Kenya | Matukio ya Afrika | DW | 18.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Uchaguzi mkuu Kenya

Vyama vyapiga kura kuteua wagombea Kenya

Kura za mchujo zimeanza huku mtafaruku ukiukumba uteuzi wa chama pinzani ODM kilichoanza shughuli hiyo mwishoni mwa juma. Waziri wa Usalama, Joseph Nkaisserry, ametoa onyo kwa vyama dhidi ya kuzua vurugu.

Sikiliza sauti 03:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)

Ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

          

Sauti na Vidio Kuhusu Mada