Chama cha AfD kinachopinga wahamiaji na kinachofuata siasa kali za mrengo wa kulia Alternativ für Deutschland (AfD) hivi karibuni kimeanzisha tawi lake la vijana na kumchagua kiongozi wake Jean-Pascal Hohm. Hatua ya kuanzisha tawi hilo imekumbana na upinzani mkali nchini Ujerumani. Makala ya Sura ya Ujerumani inakufahamisha zaidi.