Viwanda vidogo vidogo vyainua maisha DRC | Masuala ya Jamii | DW | 14.09.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Viwanda vidogo vidogo vyainua maisha DRC

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, viwanda vidogo vidogo vinakuwa na kukuza kiwango cha maisha ya Wakongomani na pia kuongeza mapato kwa serikali yao.

Chupa zikisanifiwa upya nchini DRC

Chupa zikisanifiwa upya nchini DRC

Katika makala hii ya Mapambazuko Afrika, John Kanyunyu, anazungumzia namna ambavyo sekta ya viwanda vidogo vidogo inavyotanuka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na namna viwanda hivyo vinavyoyabadili maisha ya watu.

Mtayarishaji: John Kanyunyu
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com