Vita dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 15.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Vita dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu

Tangu 2015, wanawake 20,000 wa Nigeria wamekuwa waathiriwa wa usafirishaji haramu wa watu. Mji wa Benin ambao ni makao makuu ya mkoa huo umekuwa kitovu cha uhalifu huo. Sasa maafisa wanataka kuuangamiza mtandao huo wa usafirishaji wa watu. Mwandishi wa habari wa DW katika makala ya Vijana Mubashara Jan-Phillip Scholz aliandamana nao

Tazama vidio 06:26
Sasa moja kwa moja
dakika (0)