1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa dunia wampa hishma za mwisho Jacques Chirac

30 Septemba 2019

Viongozi wa dunia, akiwemo rais wa shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, ni miongoni mwa waliotoa heshima zao mwisho kwa rais wa zamani wa Ufaransa Jacques Chirac, aliyefariki dunia wiki iliyopita. Misa ya kuagwa kwake ilifanyika katika kanisa la Saint Sulpice mjini Paris, Ufaransa. #kurunzi

https://p.dw.com/p/3QUh9