Utamaduni wa milio ya mijeledi yarejea tena Bavaria | Media Center | DW | 05.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Utamaduni wa milio ya mijeledi yarejea tena Bavaria

Goaßlschnalzen au mlio wa mjeledi ni utamaduni wa watu wa jimbola Bavaria Kusini Mashariki mwa Ujerumani. Zamani waongozaji wa matwana ya farasi walitumia milio hiyo kuashiria ujio wao katika eneo hilo. Zaidi Tazama video hii. #Kurunzi

Tazama vidio 01:06