Utafunaji mirungi Somaliland | Mada zote | DW | 16.04.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Utafunaji mirungi Somaliland

Mmea wa mirungi umeambatanishwa sana na utamaduni wa watu wa Somaliland kiasi cha kwamba umekuwa sehemu ya maisha ya kiuchumi ya nchi hiyo. Wakosoaji wanalalamikia athari ya kileo hiki kwa familia.

xxx