Upinzani Kenya wataka IEBC ivunjwe | Matukio ya Afrika | DW | 27.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Upinzani Kenya wataka IEBC ivunjwe

Watu wanne waliokuwa wagombea wa Urais katika uchaguzi mkuu uliopita wamejiunga na muungano wa upinzani CORD kuitaka Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi IEBC ivunjwe, wakiishutumu kuegemea upande mmoja.

Sikiliza sauti 03:02

Mahojiano na mchambuzi Maimuna Mwidau kutoka Kenya

Sauti na Vidio Kuhusu Mada