Timu ya Taifa ya Ujerumani imefanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia kufuatia ushindi mnono wa 6-0 dhidi ya Slovakia siku yaJumatatu. Mabingwa hao wa mara nne wa Kombe la Dunia, ikiungana na Uholanzi, England, Ufaransa, Ureno, Croatia na Norway. Mwenzangu Lilian Mtono alizungumza na Josephat Charo wa dawati la michezo aliyeanza kwa kumuuliza kuhusu hatua hii ya timu ya Ujerumani kufuzu.