1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uingereza na 'homa' ya baada ya BREXIT

Daniel Gakuba11 Mei 2021

Baada ya Uingereza kukamilisha mchakato wa Brexit ulioiondoa katika umoja wa Ulaya, inakabiliwa na homa nyingine ya mgawanyiko, mara hii ndani ya mipaka yake yenyewe. Homa hiyo inatokana na sauti zinazozidi kupazwa katika eneo la Scotland. Andamana na Daniel Gakuba katika makala ya Mwangaza wa Ulaya ufahamu zaidi.

https://p.dw.com/p/3tG3b