Ufahamu Jumla – Kipindi 4 – Mayai na Viazi11.11.201011 Novemba 2010Mayai yanapochemshwa huwa magumu, viazi vinapochemshwa hulainika.Kwanini? hapa fizikia na biokemia huchukua nafasi yake.Katika chakula cha jioni na familia ya Jenny tunagundua kuwa Jack anayafahamu majibu hayo.https://p.dw.com/p/Q2dfMatangazo