Tunisia yaizima ndoto ya Madagascar katika robo fainali, AFCON | Media Center | DW | 12.07.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Tunisia yaizima ndoto ya Madagascar katika robo fainali, AFCON

Tunisia wamefuzu kuingia nusu fainali ya michuano ya kuwania kombe la mataia ya Afrika baada ya kuinyuka Madagascar mabao 3-0. Hata hivyo mashabiki wa Madagascar wamesema hawajakata tamaa, kwani hii ni mara yao ya kwanza kushiriki na wamefurahishwa na hatua ambayo timu yao imepiga.

Tazama vidio 01:33