1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Trump aitaka Ulaya kuchukua raia wake waliojiunga na IS

18 Februari 2019

Rais wa Marekani Donald Trump amewataka washirika wake wa nchi za Ulaya kuwarejesha nyumbani mamia ya wanamgambo wa kigeni wa kundi linalojiita Dola la Kiislam-IS waliokamatwa nchini Syria na vikosi vya Kikurdi vya Syria vinavyoungwa mkono na Marekani. Kurunzi: 18.02.2019

https://p.dw.com/p/3DbCc