1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tatizo la usikivu hafifu

18 Machi 2019

Hali ya kutosikia vizuri ni miongoni mwa ulemavu usiotiliwa maanani na wengi na umekuwa unaongezeka kila uchwao kwa kuwa hauna ishara za wazi kama ulemavu mwingine. Je umewahi kujiuliza ni kwa nini mtoto, mwanafunzi ama hata rafiki yako mara nyingine hushindwa kutekeleza kile unachomwambia ama kumuagiza? Sikiliza makala haya ya afya yako kujielimisha zaidi.

https://p.dw.com/p/3FEXt