1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 19.09.2021

19 Septemba 2021

Watawala wa kijeshi nchini Guinea waondoa uwezekano wa kumruhusu rais wa zamani anaeshikiliwa Alpha Conde kwenda uhamishoni, baraza la usalama la UN lawahimiza viongozi wa Somalia wanaozozana kutatua tofauti zao kupitia mazungumzo na balozi wa Ufaransa nchini Australia Jean-Pierre Thebault asema Australia imefanya kosa kubwa la kidiplomasia kwa kufuta makubaliano ya kununua nyambizi za Ufaransa

https://p.dw.com/p/40W1i