Muhtasari: Rais wa Iran asema nchi yake haina lengo la kuunda silaha za nyuklia wakati akihutubia mkutano wa Umoja wa Mataifa. -Shambulio la droni lawajeruhi watu 20 katika mji wa kusini mwa Israel.-Urusi yaapa kuendeleza mashambulizi dhidi ya Ukraine.