1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 12.05.2022

Josephat Charo
12 Mei 2022

Ukraine yajiandaa kusikiliza kesi ya kwanza ya uhalifu wa kivita dhidi ya mwanajeshi wa Urusi. Mkutano wa kilele kati ya Umoja wa Ulaya na Japan waanza leo mjini Tokyo. Na Ujerumani yapanga kutuma tena wanajeshi wake katika tume ya amani ya Umoja wa Mataifa nchini Mali

https://p.dw.com/p/4BABY