1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
12 Juni 2018

https://p.dw.com/p/2zKL9

Historia imeandikwa mjini mjini Singapore ambako rais wa Marekani Donald Trump amekutana kwa mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wa mashirika ya Kimataifa waonya dhidi ya sera za Marekani za kulilinda soko lake la ndani. Nchi nne za Bahari ya Mediterania zakutana kujadili njia bora za kuwasaidia wahamiaji wanaokabiliwa na kitisho katika bahari hiyo.