Siku ya wanawake duniani | Vijana Mubashara - 77 Asilimia | DW | 06.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vijana Mubashara - 77 Asilimia

Siku ya wanawake duniani

Wasikilize waandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW wakiyazungumzia matarajio yao mbele ya siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo mwaka huu inaadhimishwa tarehe 8 mwezi Machi.

Tazama vidio 01:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)