1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa za uhamiaji Italia

2 Novemba 2022

Italia ina serikali mpya, inayoongozwa na chama cha sera kali za mrengo wa kulia. Chini ya waziri mkuu Giorgia Meloni serikali hiyo inataka kufunga kabisa njia ya bahari ya Mediterania inayotumiwa na wahamiaji kuingia barani Ulaya. Katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya tunatazama namna sera ya Umoja wa Ulaya juu ya uhamiaji itakavyobadilika Msikilize Daniel Gakuba.

https://p.dw.com/p/4IyBs