1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa za Pwani ya Kenya zajadiliwa.

Lilian Mtono
28 Januari 2019

Wabunge wawili wa ODM nchini Kenya, Aisha Jumwa wa Malindi na Suleiman Dori wa Mswambweni kutoka eneo la Pwani, Kenya; wanakabiliwa na kitisho cha kuvuliwa ubunge kutokana na kile chama hicho kinachukulia kuwa utovu wa nidhamu wa wabunge hao katika siku za hivi karibuni. Mchambuzi Maur Bwanamaka anaangazia athari zake kisheria na kisiasa.

https://p.dw.com/p/3CKRv