1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Muziki

Sauti ya mwimbaji Bijou bado yasikika Bamako

Yusra Buwayhid
16 Oktoba 2019

Kuwa mwanamuziki ni kazi hatari nchini Mali. Muziki umepigwa marufu kwa sababu ya misimamo mikali ya Sharia za Kiislam, pamoja na marufuku ya serikali inayozuia mikusanyiko ya watu wengi. Lakini mwanamuziki mchanga mjini Bamako amedhamiria sauti yake kusikika.

https://p.dw.com/p/3RNYB