1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rwanda yafungua mpaka wake na Uganda

10 Juni 2019

Rwanda iliufunga mpaka wake na Uganda mwezi Februari 2019 na imekuwa haiwaruhusu raia wake kuvuka kwenda Uganda bila idhini maalum. Msemaji wa serikali ya Uganda, Ofwono Opondo, alisema Rwanda imefanya hivyo kufuatia shinikizo kutoka kwa wadau mbalimbali wa kibiashara na kisiasa lakini haijaindikia rasmi Uganda kuifahamisha.

https://p.dw.com/p/3K8l6