Rais wa Ujerumani Steinmeier yuko ziarani Lebanon
16 Februari 2026
Matangazo
Steinmeier anatarajiwa kupokelewa na Rais Joseph Aoun mjini Beirut na atakutana pia kwa mazungumzo na Waziri Mkuu Nawaf Salam na spike wa Bunge Nabih Berri.
Siku ya Jumatano, Steinmeier ambaye anaambatana na mkewe Elke Büdenbender ataelekea Jordan.
Ofisi yake imesema ziara ya Steinmeier inalenga kupeleka ujumbe kwa mataifa hayo mawili ya Kiarabu kwamba Ujerumani inaendelea kuunga mkono juhudi za kurejesha utulivu