1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Kenya William Ruto apendekeza kupandisha kodi

17 Mei 2024

Kipindi cha maoni wiki hii kinaangazia mapendekezo ya serikali ya rais wa Kenya William Ruto juu ya kupandisha kodi ili kuongeza makusanyo ya ushuru kwa kiasi cha shilingi bilioni 323. Mapendekezo hayo ni pamoja na kuongeza ushuru wa miamala ya fedha kwa njia ya simu, benki, kupandisha kodi ya magari na kodi ya ongezeko la thamani (VAT). Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4fyxI