Rais Kabila kumtaja waziri mkuu mpya DRC | Media Center | DW | 07.04.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Rais Kabila kumtaja waziri mkuu mpya DRC

Idadi ya waliokufa kutokana na kile kinachodaiwa kuwa gesi ya sumu inazidi kuongezeka. Gambia leo hii inashiriki uchaguzi wa kwanza wa bunge tangu kuondolewa madarakani Rais Yahya Jammeh na Rais Joseph Kabila anatarajiwa kutaja waziri mkuu mpya.

Tazama vidio 01:46
Sasa moja kwa moja
dakika (0)