Raila odinga kuwasilisha madai yake mahakama ya juu | Media Center | DW | 16.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Raila odinga kuwasilisha madai yake mahakama ya juu

Kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga kufikisha madai ya kuibiwa kura kwenye mahakama ya juu nchini humo, Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe aomba Kinga ya kidiplomasia baada ya tuhuma za kumshambulia mwanamitindo na Colombia yamaliza rasmi vita vilivyodumu kwa miaka 50. Papo kwa Papo: 16.08.2017

Tazama vidio 02:05
Sasa moja kwa moja
dakika (0)