Polisi ya Uganda yamkamata Jenerali Tumukunde | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.03.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Polisi ya Uganda yamkamata Jenerali Tumukunde

Polisi nchini Uganda imethibitisha kuwa Luteni Jenerali mstaafu Henry Tumukunde anakabiliwa na mashtaka ya uhaini. Jenerali huyo ambaye wiki iliyopita aligonga vichwa vya habari kwa kutangaza kugombea urais dhidi ya Jenerali Yoweri Museveni alikamatwa Alhamisi jioni. Kutoka Kampala, mwandishi wetu Lubega Emmanuel anaripoti.

Sikiliza sauti 02:19