Polisi Uganda yawakamata waliokiuka vikwazo vya kudhibiti COVID-19 | Matukio ya Afrika | DW | 27.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Polisi Uganda yawakamata waliokiuka vikwazo vya kudhibiti COVID-19

Nchini Uganda Polisi imewakamata mamia ya watu waliojumuika katika sehemu za starehe, waliojiachia baada ya muda wa miezi minne ya kuzuiwa kufuatana na kanuni za kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19.

Sikiliza sauti 02:18