1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uganda: Waliokiuka vikwazo vya kudhibiti COVID-19 wakamatwa

Lubega Emmanuel
27 Julai 2020

Nchini Uganda Polisi imewakamata mamia ya watu waliojumuika katika sehemu za starehe, waliojiachia baada ya muda wa miezi minne ya kuzuiwa kufuatana na kanuni za kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa COVID-19.

https://p.dw.com/p/3fy1T