JamiiVatican
Papa Leo XIV kufanya ziara katika mataifa manne ya Afrika
26 Februari 2026
Matangazo
Kiongozi huyo wa kidini atautembelea mji mkuu wa Algeria na eneo la Annaba kuanzia Aprili 13 hadi 15, ikiwa ni ziara ya kwanza katika taifa hilo la kiislamu la Afrika Kaskazini.
Akiwa huko Cameroon na Angola, Papa Leo anatarajia kutoa wito wa amani na mazungumzo ya kijamii kufuatia migogoro ya muda mrefu ya makundi yanayotaka kujitenga na mbayo yamekuwa yakisababisha vifo vya raia.