1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Vatican

Vatican ndiyo makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani pamoja na kiongozi wake, Papa

Vatican ilioko ndani ya taifa dogo la Vatican katika mji wa Roma, Italia, ndiy makao rasmi ya papa na makao ya utawala wa kipapa. Neno Vatican pia linamaanisha mamlaka ya papa. Mlinzi wa Kiswisi mwenye silaha na alievalia sare za kipindi cha mwamko, amekuwa akimlinda papa tangu mwaka 1506.

Onesha makala zaidi