Odinga aahirisha tangazo kuhusu uchaguzi | Media Center | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Odinga aahirisha tangazo kuhusu uchaguzi

Kinara wa upinzani Kenya Raila Odinga ameahirisha tangazo la mkakati wake wa kupinga kushindwa kwake katika uchaguzi, na kuwaacha njiapanda Wakenya kuhusu mgogoro wa kisiasa unaofukuta nchini humo. Watu zaidi ya 300 wauawa katika maporomoko ya matope nchini Sierra Leone. Na kampuni ya usafiri wa anga ya Marekani SpaceX imetuma rekoti ya mizigo angani.

Tazama vidio 02:09
Sasa moja kwa moja
dakika (0)