1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaBurundi

Nini hatma ya mzozo kati ya marais wa Rwanda na Burundi?

Tatu Karema
2 Januari 2024

Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ameituhumu kwa mara nyengine Rwanda kuwasaidia waasi wa Red Tabara wanaoishambulia mara kwa mara Burundi. Msikilize Ali Mali, mchambuzi wa siasa za Afrika ya Kati.

https://p.dw.com/p/4aoH7