Nafasi ya maaskari wanawake jeshini | Masuala ya Jamii | DW | 08.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Nafasi ya maaskari wanawake jeshini

Huku siku ya wanawake ikiadhimishwa duniani, ni fursa nzuri kwa baadhi ya wanawake wanaojiamini na kujiunga na majeshi na polisi kutafakari kuhusu mchango wao katika kuleta amani na usalama duniani.

Sikiliza sauti 02:14

Ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Entebbe

Hata hivyo, idadi ya wanawake hao bado ni  ndogo. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alipata fursa kutembelea kituo cha wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa huko Entebbe, Uganda.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com