1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwanamke jasiri anayesafisha mapaa ya nyumba, Uganda.

23 Novemba 2018

licha ya kuwa na shahada katika Uchumi na Biashara, na kupatana na changamoto ya kutafuta ajira, Sandra Muhimbo habagui kazi yeye hupanda mapaa ya nyumba nchini Uganda na kuyasafisha.

https://p.dw.com/p/38nGS