Mvutano kati ya Kenyatta na Ruto unamaanisha nini? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 11.01.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mvutano kati ya Kenyatta na Ruto unamaanisha nini?

Nchini Kenya migawanyiko ya kisiasa inaendelea kupamba moto hasa baina ya rais Uhuru Kenyatta na makamu wake William Ruto. Wiki iliyopita rais Kenyatta alisema Kenya sio nchi inayostahili kuongozwa na makabila mawili tu, yaani Wakikuyu na Wakalenjin. Kauli hiyo ilitafsiriwa kuwa dongo kwa makamu wake Ruto na kambi yake. Saumu Mwasimba amezungumza na Professa Chacha Nyaigoti kuchambua mvutano huo.

Sikiliza sauti 02:59