1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni atangaza mkakati kuokoa uchumi baada ya corona

4 Juni 2020

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekariri kwamba kwa upande mwingine majanga hasa la virusi vya corona ni funzo kubwa kwa Waganda na Waafrika kwa jumla, akisema ni wakati wakujitegemea badala ya kusubiri misaada.

https://p.dw.com/p/3dGnJ
Muuzaji Kampala
Picha: Getty Images/AFP/B. Katumba

J3: 04.06.2020 Uganda: President Museveni to address the nation - MP3-Stereo