1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa intaneti unabadilisha maisha ya watu mjini Lagos

3 Desemba 2015

Katika jiji la Lagos nchini Nigeria, zaidi ya teksi 250 zimewekwa mtandao wa intaneti. Wateja wanaweza kuutumia huku wakiwa wamekwama katika foleni za magari.

https://p.dw.com/p/1HGGi
Africa on the Move Smart taxis
Picha: DW

'Smart taxis' of Lagos