Msanii Nduhira awasaidia wasichana kutengeneza padi za hedhi | Media Center | DW | 01.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Msanii Nduhira awasaidia wasichana kutengeneza padi za hedhi

Msanii Sadat Nduhira nchini Uagnda ameanzisha mradi wa kuwafunza wasichana namna ya kutengeneza padi za kujistiri wakati wa hedhi kutokana na kwamba wasichana wengi nchini humo hawawezi kumudu gharama ya Padi za kawaida. Sadat anawasaidia kutengeneza padi hizo ili waweze kwenda shule wakiwa katika siku zao za hedhi bila wasiwasi wowote.

Tazama vidio 02:35
Sasa moja kwa moja
dakika (0)