1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msanii mlemavu Afghanistan afungua kituo cha mafunzo

Yusra Buwayhid
19 Februari 2020

Msanii mlemavu mwenye umri wa miaka 19, Robaba Mohammadi anapambana na unyanyapaa kwa walemavu na ubaguzi dhidi ya wanawake nchini Afghanistan. Licha ya kwamba ana ulemavu wa mikono na hawezi kutembea, amejifunza kuchora kwa kushika burashi kwa mdomo wake na kutengeneza kazi nzuri zenye rangi za kupendeza. Kuwasaidia wasanii wengine wenye ulemavu amefungua kituo cha mafunzo.

https://p.dw.com/p/3Y0Sg