SiasaMripuko wa kipindupindu NairobiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSylvia Mwehozi19.05.201719 Mei 2017Rais Donald Trump anafanya ziara ya kwanza nje ya nchi katika mataifa ya Mashariki ya kati na Ulaya. Wairan wanapiga kura kumchagua rais hii leo. Na Kenya yatahadharisha mripuko wa Kipindupindu jijini Nairobi. Papo kwa Papo 19.05.2017.https://p.dw.com/p/2dFhIMatangazo