Moto wateketeza soko la Gikomba, Nairobi | Media Center | DW | 06.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Moto wateketeza soko la Gikomba, Nairobi

Moto mkubwa umeteketeza soko maarufu la Gikomba mjini Nairobi, Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2017 imekwenda kwa taasisi inayopiga kampeni dhidi ya silaha za nyuklia, Catalonia imesogeza hadi Jumanne, kikao cha bunge lake chenye utata ambacho yumkini kingetangaza uhuru wa jimbo hilo, Kimbunga chauwa watu saba Kaskazini mwa Ujerumani. Papo kwa Papo.

Tazama vidio 02:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)