1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa Polisi Uganda atimuliwa

5 Machi 2018

Hatua ya rais Museveni kumfuta kazi Jenerali Kale Kayihura kama mkuu wa jeshi la polisi zimepokelewa kwa maoni mseto na wananchi wa Uganda. Ni kufuatia wimbi la uhalifu ambapo watu kadhaa wametekwa nyara na hata kuuawa.

https://p.dw.com/p/2the1
Kale Kayihura mkuu wa Polisi Uganda
Picha: picture-alliance/AA/L. Abubaker

J2 05.03 Uganda- sacking of Kale Kayihura - MP3-Stereo