Mkutano wa Macron na vijana wa Afrika utaleta mabadiliko? | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 13.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mkutano wa Macron na vijana wa Afrika utaleta mabadiliko?

Makala ya Mwangaza wa Ulaya inatupia jicho mkutano uliofanywa na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na vijana wa kiafrika mnamo Oktoba 8, ikiwa ni juhudi za kuwasikiliza moja kwa moja badala ya kuwaalika wakuu wa nchi. Lengo likiwa kilichotajwa kuwa kuupanga upya uhusiano baina ya Ufaransa na bara la Afrika. Je, ukweli uliozungumzwa utabadilisha chochote?

Sikiliza sauti 09:47