Ni miaka sita sasa tangu kuzuka kwa mzozo mbaya kabisa nchini Sudan Kusini na kusababisha wengi kukimbia maeneo yao, lakini pia dhuluma mbaya za kingono dhidi ya wanawake na hata wasichana. Hata baada ya muda huo, wahanga hawa bado wangali wanasaka haki zao. Hebu wasikilize hapa kwenye makala ya Mbiu ya Mnyonge.