Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya na ″Operesheni Linda Nchi″ Somalia | Miaka 50 Uhuru wa Kenya | DW | 09.12.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Miaka 50 ya Uhuru Kenya

Miaka 50 ya Uhuru wa Kenya na "Operesheni Linda Nchi" Somalia

Taifa la Kenya linatimiza miaka 50 ya uhuru wake likiwa linakabiliwa na changamoto za kiusalama ndani na nje ya mipaka yake, lakini imeendelea kusimama kama taifa imara katika eneo la Afrika ya Mashariki.

Wanajeshi wa Kenya nchini Somalia katika Operesheni Linda Nchi.

Wanajeshi wa Kenya nchini Somalia katika Operesheni Linda Nchi.

Mnamo mwezi Oktoba 2011, Kenya ilituma wanajeshi wake nchini Somalia kukabiliana na wapiganaji wa al-Shabaab kupitia kile ilichokiita "Operesheni Linda Nchi". Katika kipindi hiki cha Kinagaubaga, Mohammed Khelef anazungumza na msemaji wa operesheni hiyo, Cyrus Oguna, juu ya umuhimu wa hatua hiyo ya Kenya kama kielelezo cha kusimama imara kijeshi nusu karne baada ya uhuru wake.

Kusikiliza mahojiano haya, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mahojiano: Mohammed Khelef/Cyrus Oguna
Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com