Mengiste Desta wa Ethiopia | Matukio ya Afrika | DW | 23.05.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Mengiste Desta wa Ethiopia

Mengiste Desta amechapisha hivi karibuni kitabu kuhusu Umoja wa Afrika. Anaishi Addis Abeba, yanakokutikana makao makuu ya Umoja huo.

Das Bild zeigt den AU-Experten und Buch-Autor Mengiste Desta aus Äthiopien und wurde in Addis Abeba, Äthiopien, von Yohannes Gegziabher, Korrespondent der Amharisch-Redaktion, aufgenommen. Zulieferer: Friederike Müller Titel: 50 Jahre AU - Portrait Botschafter Mengiste Desta Thema: AU-Experte und Buch-Autor Mengiste Desta aus Äthiopien Copyright: Yohannes G/egziabher/DW Schlagwörter: 50 Jahre AU, Botschafter Mengiste Desta

50 Jahre Afrikanische Union

"Jukumu la Umoja wa Afrika kwanza lilikuwa kulikomboa bara lote la Afrika kutokana na ukoloni na mfumo wa ubaguzi wa rangi na mtengano. Uamuzi muhimu ulikua kuundwa baraza la amani na usalama ambalo ni sawa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Taasisi hiyo inashughulikia mivutano na matatizo ya usalama barani Afrika. Kwa hivyo, mengi yamefanyika upande huo."

DW inapendekeza