SiasaMatangazo ya Mchana 17.08.2019 To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAmina Abubakar17.08.201917 Agosti 2019Pakistan yaukaribisha uamuzi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kuujadili mzozo wa Kashmir, Maandamano mengine ya kudai demokrasia zaidi yaendelea mjini Hong Kong na Sudan kusherehekea kufikiwa makubaliano ya kuundwa serikali ya mpito. https://p.dw.com/p/3O3XWMatangazo